Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Kiukweli kuanzia nianze kumwona Lusinde Bungeni, Sijawahai kumwona aongee kitu cha maana zaidi ya kuongea na Wabunge wengine kucheka, kiujumla ni mchekeshaji, Ndugu zangu wa Mtera, hivi kweli hamna matatizo hapo kwenu?
Lakini siamini kama hamna matatizo, kwasababu sehemu iliyo tangazwa Chavichavi kuliwa ni hukohuko mtera, na si kuliwa kwa sababu eti mnapenda, ni kwasababu ya njaa. Sio kama ile kusema Mchina anakula Nyoka, Mchina anakula nyoka kwa kupenda sio njaa.
Hivi kweli Dodoma itasonga mbele kweli kwa kuchagua Wabunge wachekeshaji Badala ya kupigania Ukosefu wa maji Dodoma, Ukosefu wa Elimu Dodoma, Ombaomba wa Mikoa mingi wanatoka Dodoma, hivi kweli Dodoma hakuna wabunge mpaka mnachagua watu wa kuwachekesha wabunge?