Hivi WanaCCM wanatoka wapi?

Tupo Tanzania na tunatoka walipo watanzania wa kweli na Binadamu wenye akili zao Timamu sio wale walio shikiwa akili na Mbowe & Mtei Company Ltd (saccoss ya Bomang'ombe).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekosa chama mbadala wa CCM tukaona ni heri kuipa sapoti CCM kuliko hao wanaharakati wanaojiita wanasiasa wa kupiga kelele tu zisizo na maana na kuigeuza mahakama ndo makazi yao ya kudumu...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…