kura milioni 9 nani kasemaKwamba zile kura karibia milioni tisa zilikuwa ni za viongozi wa chama, wabunge na mawaziri!
Wewe ni taahira mwingine...
Umeyatoa wapi hayo?kura milioni 9 nani kasema
Watakaopigia kura CCM wataongeza 2020 na wengi watakuwa siyo wanachama wa chama chochote. Katika kosa kubwa lilofanywa ni kutoweka wagombea huru nadhani CCM na vyama upinzani wangegundua wapigaji kura wengi hawana ushabiki wa vyama kama wanavyodhani. Bahati mbaya kwa hali ya sasa ukilinganisha CCM na Upinzani. Ni bora CCM japo kwa shingo upande.Wakuu, hebu tujaribu kujenga picha...
Hawa wanaoisifia CCM na Magufuli kwa sasa wanatoka wapi?
Au ni wale wanaoishi kinabii? Kwamba kuna maisha mema huko mbeleni?
Hivi hawa wachache waliopo hapa jukwaani, ndio wabunge na hao mawaziri wanaotoka CCM?
Najiuliza hivi kuna raia wakawaida hapa(sio kiongozi wa chama, mbunge wala waziri). Anayekitetea chama hiki na Mwenyekiti wake?
Yupo mtu wa hivi kweli humu?
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
Wana CCM na CCM ipo imara kabisa. Kila mtanzania kwa sasa anaimba na kuisifia CCM kwa sababu Tz kwa sasa hatuna upinzani, maana ulishakufa!Wakuu, hebu tujaribu kujenga picha...
Hawa wanaoisifia CCM na Magufuli kwa sasa wanatoka wapi?
Au ni wale wanaoishi kinabii? Kwamba kuna maisha mema huko mbeleni?
Hivi hawa wachache waliopo hapa jukwaani, ndio wabunge na hao mawaziri wanaotoka CCM?
Najiuliza hivi kuna raia wakawaida hapa(sio kiongozi wa chama, mbunge wala waziri). Anayekitetea chama hiki na Mwenyekiti wake?
Yupo mtu wa hivi kweli humu?
Sent from Kiwatengu 7 using jamiiforums app
Wakuu, hebu tujaribu kujenga picha...

Ooh sorry! Kumbe mataahira hamna ukoo...U
'Uko' ndio nini wewe pomboo wa kikolomije
Watakaopigia kura CCM wataongeza 2020 na wengi watakuwa siyo wanachama wa chama chochote. Katika kosa kubwa lilofanywa ni kutoweka wagombea huru nadhani CCM na vyama upinzani wangegundua wapigaji kura wengi hawana ushabiki wa vyama kama wanavyodhani. Bahati mbaya kwa hali ya sasa ukilinganisha CCM na Upinzani. Ni bora CCM japo kwa shingo upande.
duh watakuwa wanafiki sanawanatoka kwenye jamii hii hii, ni kwamba tunatofautiana mtazamo na maono. Na wengine ndiyo hivyo wakipenda chongo huita kengeza, asubuhi anasifia mchana anakwambia ngoma bilabila kama unachochote nisaidie...
Ptuuu, mpaka leo anazindua miradi ya JK tu na kutoa ahadi nyingi kila kitu atafanya yeye. No priority, no focus. Maendeleo ingelikuwa kupayuka naona tungekuwa nchi tajiri kuliko Marekani sasa hivi.Ungetuambia kwanza wewe unatoka wapi usiyeona mambo mazuri anayoyafanya Rais Magufuli kwa ajili ya watanzania?
Kwa taarifa yako Rais Magufuli kwa sasa ndiye Rais bora hapa Afrika.
Mpaka anapomaliza mihula yake miwili ya urais bila shaka atakuwa Rais bora kabisa DUNIANI.
Sent using Jamii Forums mobile app