Mkuu wameadimika mno siku hizi wanapokea mpka buku na kusema Asante baby kwa kunijari.Nauliza tu wadau miaka ya nyuma nakumbuka ilishanikuta sana hii miaka ya 80~900# unakuta demu mpo kwenye mahusiano ukimpa pesa atakataa serious kabisa sio kwamba ni ndogo ama amesusa kama hawa wa siku hizi yaani haitaki ukimlazimisha sana mtagawana nusu kwa nusu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahahha tupo, sema hamjui kujiongeza tu
KivipiHahahahha tupo, sema hamjui kujiongeza tu
Hahahahha tupo, sema hamjui kujiongeza tu
Vip wew dada una hela?Kwani wanaume ndio mna hela sana kuliko wanawake?
Hahahahahha haswaakujiongeza
Nn sasa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
HahahaMkuu wameadimika mno siku hizi wanapokea mpka buku na kusema Asante baby kwa kunijari.
YapVip wew dada una hela?
Na uko mbeya au moshi
Sijakusoma mkuu, nielewesheNa uko mbeya au moshi
Nadhan umeelewa maana angu
Funika kombe.Sijakusoma mkuu, nieleweshe