Hivi Wakenya tunatumia asilimia ngapi ya akili zetu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,225
50,368
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

9172af2a8eabcb0905d8d6206dc9020a.jpg
 
Daaah! Hatari hii!!
 
Huyo ni mpuuzi tena wa kumpuuza tu maana aliongea bila hata utafiti wowote tu kufanyika hana utofauti na wale wabishanaji wa mpira uku mitaan kila mtu anaongea anachojiskia na kukiamin yeye
 
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

9172af2a8eabcb0905d8d6206dc9020a.jpg
Hii habari ingenoga kama ingekuwa imeandikwa na mtu aliyefanya utafiti wa kisayansi!

Sio kuchapisha habari ambayo imeelezwa na mtu ambaye yuko kwa ajili ya kufanya promotion ya mradi wake wa kilimo halafu ndo akupe data za kubishania!
 
hahahaha! asilimia 1 dah!! ama kweli maajabu haya! nitawaelewa kina Motochini na Geza Ulole sasa...sitawalaumu tena....akili zao kumbe asilimia 1 tu...:D:D:D
 
duh huyo ni mkenya au mtz aliyeandika upuuuz kama huo na amefanya investigation kiasi gani mpaka kutumia public kusoma ujinga wake....
 
Tanzania kuna watafiti wa ovyo kabisa.
1 Kila Watanzania 4 mmoja wao kichaa.

2 Asilimia 49% ya wanaume wanalea watoto sio wao.

Haya yote yamekuja baada ya kupata kiongozi mwenye mambo ya ajabu.

Ndukiiiii
 
Nimeona hii picha mahali ambayo inasema Watanzania wanatumia asilimia 1% ya akili zao na ndio maana wao ni maskini sana, nikajiuliza na sisi vipi. Kuna utafiti kama huu umefanyika Kenya?

9172af2a8eabcb0905d8d6206dc9020a.jpg
Labda utafiti ulifanya kwa vyama vinavyo ongoza nchi basi itakuwa kweli mana CCM akuna anaye fikiri kwa zaidi ya asilimia1
 
Back
Top Bottom