Hapana kwa kweli,IT'S THE BIGGEST TURN OFF,mara mia uvae suruali ya njano imekaa vizuri kiunoni kuliko mlegezo
af wengine wachafuje sasa hzo boxer na miharufu juu,argh..
Hapana kwa kweli,IT'S THE BIGGEST TURN OFF,mara mia uvae suruali ya njano imekaa vizuri kiunoni kuliko mlegezo
af wengine wachafuje sasa hzo boxer na miharufu juu,argh..
Imekua ni dhana kwa wanaume kuvutiwa na wadada pindi wanapojiachia wazi maungo yao.
Hivi wadada je wanavutiwa na mkaka akipiga mlege?
Nikimuona kijana kala mlege natamanigi niwe Mzee Kifimbo cheza kitu sema basi tu. Aisee nachukia hii kitu.