Hivi wadada wakristo mna matatizo yapi?

Hivi wadada wakristo mna matatizo yapi?

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
565
Reaction score
1,115
unavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu waangalie wenzen waislamu,wanavyojiheshimu.hiyo n nadhir kuwa waislamu wapo kwenye maadil.ila wakristo wapo kinyum na maandiko ndio mm nataman kuoa muislam,maana n wazur na wanaheshima.venye mtu anavaa ndivyo alivyo ila nawarai wadada wakirsto heshimun ibaada,n sehem patakatifu.fanya huo uchaf ukiwa nje sio ibadan,mnaleta dhamb ibadan
 
Kwa kiasi kikubwa washajua Mungu hayupo hao bado wapowapo hata kuolewa kwenyewe wanajua ni magumashi tu.

Hapo kanisani penyewe wanakuja kuwinda zaidi.

Na hiyo ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu. Makanisa yenyewe yashakubali.

Huelewi wapi?
 
Siku moja hawa wadada bhana , tulikuwa job ikatokea taarifa ya msiba ghafla wa mother wa fulani ..Basi ikatangazwa lazima watu waende maana huyo mzee aliyefiwa alikuwe kwenye safu ya wakurugenzi.

Nilishangaa wadada walizama chimbo kwenda kununua kanga na vitenge..Alitumwa tu mtu chap kariakoo hapo akaleta mzigo ...Wamevaa kama sio wao 🤣
 
unavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu waangalie wenzen waislamu,wanavyojiheshimu.hiyo n nadhir kuwa waislamu wapo kwenye maadil.ila wakristo wapo kinyum na maandiko ndio mm nataman kuoa muislam,maana n wazur na wanaheshima.venye mtu anavaa ndivyo alivyo ila nawarai wadada wakirsto heshimun ibaada,n sehem patakatifu.fanya huo uchaf ukiwa nje sio ibadan,mnaleta dhamb ibadan
Sasa kuvaa nguo fupi shida iko wapi kijana
Muhimu wamefunika nyeti zao. Tanzania joto kali acha dada zetu wajinafasi
 
Back
Top Bottom