Hivi wadada mnataka mpendwe vipi?

Hivi wadada mnataka mpendwe vipi?

mwelevu mno

Member
Joined
May 13, 2018
Posts
13
Reaction score
8
Jamani nyie wadada wa siku hizi hivi mnataka mtu awapende vipi ili mtu kama anawapenda maana kila kitu mnapewa ila bado mnaishia kusaliti tu mna maana gani.
 
Waache wanawake wala usiwabugudhi tafadhali! Narudia tena kusema uwaache wanawake.

Waache mama zetu tafadhali!

Ukiwashindwa achana nao ufanye jambo lingine la maana.
Kumbuka bila wanawake haya maisha hayaendi eti
 
Pambana na maisha yako. Kama vipi na wewe msaliti
 
pole sana leo utapata usingizi kwa shida sana
 
Pole sana kwa yaliyokukuta
 
Waache wanawake wala usiwabugudhi tafadhali! Narudia tena kusema uwaache wanawake.

Waache mama zetu tafadhali!

Ukiwashindwa achana nao ufanye jambo lingine la maana.
Kumbuka bila wanawake haya maisha hayaendi eti
Hahaaaa mwambie eti huyo. Kwani lazima adili na m'mke aachane nao afanye shughuli zingine
 
Kama kila kitu unatoa na bado unasalitiwa IPO shida mahali....jichunguze ila skwambii ujichunguze wapi!
We ni direct tuu unisaidie maana mgonjwa hafichi ugonjwa wake kwa daktari
 
Usaliti wa mwanamke wako, usiubebeshe wanawake wote
 
Pole kwa yaliyokukuta, ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge mmegee mkuu inakuwa ngoma draw.
 
Back
Top Bottom