Hivi wadada mnachumbiwaje wenzangu?

Nimekuja PM naomba ufanye utaratibu tuwasiliane hutojuta kuwa na mimi. Naomba tuwasiliane plz
 
Wewe endelea kusoma upepo utaendaje na ucmforce aje kwenu , alafu usikate tamaa utaolewa tu (kama ipo, ipo tu).Na mwanaume mwengine ukimpa utam tu anasepa but mwengine unataka utam kabla ya ndoa.

Kwahiyo sikushauri ukate tamaa mapema yupo uliepangiwa kuja kufunga ndoa na wewe
 
Ndoa ni fasheni iliyopitwa wakati na mantiki kama si udhaifu wa magonjwa nadhani wanaume tusinge oa kabisa
Wabishi watapinga maoni yangu kwasababu ni wanafiki awawezi kukubali ukweli sikuizi ndoa zote ni FEKI
 
I blv mwanamke ana power kubwa ya kumshawishi mwanaume amuoe ila mwanaume hana hiyo power

Tumia power yako vzr kuna mahali unakosea au huwa una jisahau ktk mahusiano yako
Wanaume mara zote huwa tupo wadhaifu kwa wanawake pia ndoa siyo itakufanya uwe na mapenzi bora bali ni heshima kwa jamii yako
Sio kila mwanaume ana weza kukuoa na sikila unapo kuwa na mtu ktk safari yako ya mahusiano ya kindoa utafika nae wengine wana kusindikiza tuu mwanandoa mwenzako ana kusubiri mbele kaza mwendo Mdada.
 
NILIAMBIWA UNATAKA WATU WAZIMA LAKINI HII IMENIPA MOYO SANA NAIMANI JIMBO LINAKARIBIA KUWA LANGU
 
we sema unatafuta bwana humu....hilo tako naloliona hulitumii vema.
 
Umejifungia ndani nani atakuona Mkuu nenda kanisani,sokoni,event mbalimbali ukutane na wadau
 
Hizi ndiyo impact za kujifanya wanaharakati wa kudai haki sawa
 
Njoo inbox tujayenge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…