Hivi Waafrika hatuna akili?

Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.

Tatizo wamekariri hata ukiwasupport watakuharibia tu!
 
Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Ila Umenifikirisha sana.
Eti Nini kinashindikana serikali kujenga barabara zake kuu yenywe hata kwa kutumia JKT?
Utaalam wa ujenzi wa barabara mbona ni cheap, ukiondoa yale madaraja makubwa,
Utakuta sehemu Manispaa ina magreda yake yenyewe lakini bado inatafuta mzabuni, kwnn.

Oil, Minerals & Gas extraction ni sawa ku-import utaalamu kwasab Technology yake ni aghali na exceptional lakini sio barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…