Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 964
- 1,296
Afrika hatujitambui wenzetu Asia kama Thai ,Vet na Malasia ni watu wanaojitambua sana sanaKipimo cha akili ndogo za Waafrica, ni hiki. Anatokea mwarabu, msomali, mhindi, mzungu au mchina fulani, anahamia kijijini ndani ndani tu huko. Baada ya miaka mitatu, minne, mitano, anakusanya utajiri wa kutosha hapo hapo kijijini, anahamia mjini mkoani, labda Mwanza, Dsm Arusha nk. Baada ya miaka mitatu minne, mitano,anahamia London, au New York, au Brisbane na kuanzisha mpaka makampuni. Mwafrica wa kijijini bado yuko hapo hapo kijini na pombe zake na hirizi zake na jando na unyago vyake. Hili nimelifanyia utafiti. Akili zetu zina kasoro na upungufu mkubwa.
NDIYO, angalia watoto wa kichina walivyo busy kwenye maabara, Africa ni kucheza njoma za jadi. In short whites know how to use reason rather than faith. For Africa one has to believe in order to understand.Habari za ijumaa wanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Tuanzie na Watanzania, hivi tuna akili kweli kulingana na katiba yetu? Mbona mambo yanaendeshwa sivyo nasi tunakaa kimya?Habari za ijumaa wanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Katika kuzidi kudhiirisha kuwa mwafrika hana akili na kamwe hawezi kupata hizo akili... watu wanoongoza kumchukia na kumpondea Traore ni waafrika wenzake tena wengine ni maprofessor kabisa.Kwani hujui kama waafrika hatuna akili mm nakushangaa sana ,subirini wazungu wanakuja kuzichukua tena ,muone Traore na wenzake wamejitambua ktk makucha ya wakoloni.
Kitendo cha raisi Samia kuwachagulia wanainchi mbunge wa kuwawakilisha anayemtaka yeye, na kumkata yule ambaye mnamtaka nyie wanainchi halafu na nyie raia mmetulia tu, kinatosha kutupa taswira kuwa wabongo ni mainti zinazotembea kiasi kwamba mtu mmoja anaweza kufanya lolote la kipuuzi analojiskia bila hofu ya kukutana resistance yoyote.Tuanzie na Watanzania, hivi tuna akili kweli kulingana na katiba yetu? Mbona mambo yanaendeshwa sivyo nasi tunakaa kimya?
Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Angebaki Afrika angegundua hata hiyo bulb?Wapo watu weusi walikulia nchi za ughaibuni na wamefanya gunduzi tunazozitumia leo. Mfano Lewis Latimer alibuni bulb zinazotumia filament na hata three light traffic light imegunduliwa na mtu mweusi bila kumsahau Ben Carson neurologist aliyeishangaza dunia.
Habari za ijumaa wanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kwa hapa nimechunguza hili tatizo liko ndani ya race kabisa ukiwaona wanacheza singeli au vigodoro huku africa mtu mashahuri ni kinyume malayaa ndo bingwa , chawa ,mpiga madili ndo mjanja
Mtu mwenye hakili ni mtaratibu huwa anamaliza mambo kwa haki anafatilia vitu huku africa wewe ni fala tu Utapigwa matukio hakili ikukae
Kwa kweli kwann tumezaliwa huku au walio ulaya ndo wameenda peponi huku ndo jehanam
Wazungu walitokana na adam na eva ila sis ile sku mungu alipoumba wanyama akaumba gorillas ambao ndio sisi so usijipe stress zisizo na maanaHabari za ijumaa wanaJamiiForums?