Hivi wa TZA tuna Moral authority gani ya kujadili Epstein files ?

Hivi wa TZA tuna Moral authority gani ya kujadili Epstein files ?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,165
Sisi ngozi nyeusi , unafiki ni asili yetu kabisa.

Tunajadili kashfa za watu mashuhuri kuhusiana na unyanyasaji wa kingono wa watoto n.k.

Wakati hapa bongo na sisi ni walewale tu . Wengi wetu huwa tuna tabia mbaya na chafu na huwa tunazifunika kwa gharama yoyote ile.

Sio kwa raia wa kawaida... Kuanzia ngazi ya familia zetu za chini hadi kwet corridor za ikulu mle hakuna aliye msafi. Hatuna maadili ila ni basi tu tunafunikafunika na unafiki mwingi.

Ultra‑rich circles operate with no transparency

Gatekeepers protect each other

Money buys silence, access, and invisibility

The social networks of the wealthy are built on mutual compromise

People who speak up get crushed

People who stay quiet get rewarded

It’s not that “you must be evil to be rich.” It’s that the systems that produce extreme wealth are often the same systems that hide wrongdoing. big Shareef
 
Seran mleta maada Yupo sahihi lakini hayo anayotaka tuzungumzie je unashuhuda na ushahidi. Wingi wa taarifa ulizo nazo ndo urahisi wako kizungumzia jambo, ndo mana kila mtu anachangia mada tofauti tofauti kulingana na ideals Alizonazo kichwani, kwahyo simply naweza sema kwamba ni INTEREST tu za mtu. Ndomana kuna wanaopenda mada za ngono, mada za wanawake mada za siasa na mengine.
 
Hii dunia inamengi yamejificha, hawa matajiri ukiwaona mbele ya jamii ni watu wa maana na heshima ila behind ni wana mengi sana, yaani daah.
 
Back
Top Bottom