Hivi vitu watu mnavipendea nini?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
1. Movie

Watu mnapoangalia movie mnafurahia kitu gani? Mfano movie ya manyoka makubwa na manyani makubwa na watu wenye mikia mabawa na mapembe wanaruka wanatembea juu ya magorofa, mara mtu ana macho matatu sijui na mambo gani, watu mnavutiwa nini kwenye mambo kama hayo? Movie kama hizo mnazifurahia au zinawafurahisha nini? Mimi kitu kinaitwa movie kimenishinda. Akili yangu imegoma kabisa kuelewa hizi movie, naona kama ni mambo ya kitoto hivi.

2. Mpira.

Kuna watu timu yake ya mpira ikifungwa anaweza asile kabisa. Kuna mshikaji nilisoma nae advance Manchester ilikuwa ikifungwa hali msosi kabisa kama mechi imechezwa kabla ya msosi wa usiku. Mbaya zaidi mipira inayowafanya watu kuwa vichaa ni ya wazungu. Mtu unapendaje mpira hivyo? Angalau mpira naweza kukaa kuangalia kama wadau wanaangalia ila sio movie.

3. Pombe

Kuna watu wanapenda pombe sana, sijawahi kujaribu kunywa pombe yoyote lakini pia sijawahi hata kutamani kuonja pombe. Nashangaa eti mtu anapenda pombe kuliko hata mwanamke, unajiuliza huyu ana kili timamu au ni shoga?

4. Mwanamke mmoja.

Mtu anakuaje na mwanamke mmoja tu maisha yako yote? Kidini(wale wa dini wanajua) na kisayansi mwanamke mmoja hatoshi kwa sababu hisia za mwanaume ziko juu zaidi ya mara 3 ya mwanamke, sasa unakuwa na mwanamke mmoja anakutoshaje?

Vitu kama hivi watu mnavipendea nini?
 
Kwanini wewe umalaya na kubadili badili wanawake unapendea nini?
Kama pomebe hujawahi hata kuonja basi hukua na haja ya kuizungumzia.

Una maswali ya hovyo sana. Kama ni kweli kielimu umefika na advance then unakuja kuuliza maswali ya kipuuzi kama haya basi hujaelimika.
 
1. Movie/Series hapa inategemea na muda kama nipo busy sana naweza kuhifadhi hata season zote pamoja na kuwa sina trend ila nisewe kuzigusa sababu huwa naangalia kama burudani/refresh.


2.Mpira hapa pia weekend nikaanza kuangalia championship/Italy seria A/Epl game za saa 9 au nane na nusu mchana basi nitamaliza saa sita usiku. Weekend muda mwingi namaliza kuburudika na mpira.

3. Pombe situmii kabisa na sina mpango japo marafiki zangu naweza kuwapa offer za hapa na pale ila mimi situmii kabisa.


4. Mwanamke mmoja hapa utakuwa unawazungumzia waliooa.
 
Mule mule kumbe uzi woote unataka tujue hunywi pombe wala kuangalia mpira na movie eti unapenda mbiko na mademu acha kushangaa kula starehee yako kimya kimya

Mara nyingi (mara nyingi) wasiokunywa pombe ni wanafiki sana na wanatumia muda mwingi kwa issue za wanawake
 
Kwanini wewe umalaya na kubadili badili wanawake unapendea nini?
Kama pomebe hujawahi hata kuonja basi hukua na haja ya kuizungumzia.

Una maswali ya hovyo sana. Kama ni kweli kielimu umefika na advance then unakuja kuuliza maswali ya kipuuzi kama haya basi hujaelimika.
Sio tu nimefika advance mdogo wangu, wewe advance unaona ni elimu kubwa sana?
 
Back
Top Bottom