hivi vitu vinanichanganya sana

Umejaribu kusearch katika google? Mimi nafahamu Samsung kama Electronic manufacturing company ya South Korea ambayo inatengeneza feature and smart phones,tablets,laptop computers,tvs,digital cameras,nk.
Hayo maneno mengine, Sumsung na Sumsang naamini kuwa ni makosa ya kuspell SAMSUNG. Au huenda yana maana nyingine. Pia kuna electronic company nyingine inaitwa SINGSUNG inatengeneza tvs,dvd players nk lakini haitengenezi simu. Hakuna kapuni nyingine inayotengenrza simu yenye jina linalofanana na SAMSUNG pengine hapo ndipo palipokuletea utata.
 
Back
Top Bottom