STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Mambo mengi tunayasikia na kuyasoma lakini baadae tukija kwenye maisha halisi tunakuta ni tofauti,
Mfano-
SIGARA: Hii inapigwa vita sana na inasemekana ni hatari kwa maisha, lakini tukija kwenye uhalisia wa wavutaji utagundua wazee wengi wenye umri mkubwa ni wavutaji wakuu wa sigara na still umri wao unasonga, kama vile Bi kidude& Fidel Castro(rip) n.k.
POMBE: Hii nayo inapigwa vita kwa na baadhi kwamba ina madhara kwenye maini na kwenye kinga ya mwili, lakini tukija kwenye uhalisia inatumiwa na madokta, maprofesa, watu mashuhuri kama akina Adolf Hitler(rip), Maraisi na matajiri wa dunia, wacheza soka n.k, na hao wote utakuta wana madaktari wao binafsi,
Ni watu walioelimika n.k,
SASA UNAJIULIZA INAMAANA HAWA WATU WAMEAMUA KUJITOA MUHANGA AU HAWAELEWI MADHARA YA POMBE? Na kama ina madhara mbona wazee wa zamani na hata wasasa wametumia pombe kwa kipindi kirefu na pia wameishi kwa kipindi kirefu?
BANGI: Hii nayo inapigwa marufuku na watu wengi sana wakisema inaharibu akili,
lakini chakushangaza wale watu waliotumia wengi ni wenye maneno ya busara, wametoa ukombozi katika mataifa yao mfano Che guevara, Obama,
Wamefanikiwa sana katika maisha yao, na wengine wamejikusanyia mashabiki wengi duniani kutokana na vipaji vyao mf. Bob marley.
SASA UNAJIULIZA MBONA VITU VINAVYOONGELEWA VIKO TOFAUTI NA UHALISIA?
Yapo mambo mengi yenye utata lakini naomba tuyajadili hayo kwanza.