Hivi vitu ni propaganda au??

Hivi vitu ni propaganda au??

Uko sahihi kabisa Mkuu,kuna watu Sigara zinawatesa lakini ni ngumu kwao kuacha kuzivuta coz wamekua tayari ni addicted,hakuna mvuta Sigara asiyejua madhara ya Sigara!

Kuna watu wamekua ni watumwa wa Pombe lakini wameshindwa kuziacha! Zipo thread nyingi tu humu JF watu wakitaka ushauri jinsi ya kuacha pombe na sigara, kua muangalifu sana unapotaka kufanya jambo,usidanganyike na muonekano wa nje wa watu.
Kweli Mkuu.

Jamaa asihadaike na kuwaka waka kwa chatu asijue anawindwa ili amezwe
 
Addiction na Ubinadamu, Mfano mimi ni Public Health Advocate huwa nawashauri watu wachemshe maji ya kunywa lakini mimi huwa sichemshi kabisa, nakunywa maji yoyote na sipati madhara yoyote - Nawashauri watu kutumia kondomu lakini binafsi nachukia ila basi tu.
Si useme tu huwa hutumii kabisa
 
Ugonjwa ni siri ya mgonjwa,hata kanuni za kidaktari haruhusiwi kutangaza ugonjwa wa mgonjwa kwa watu wengine,si rahisi kama unavyofikiria kujua mtaani kwako nani ni mgonjwa wa kansa? Tena juu ya hivyo ujue hiyo kansa yake imesababishwa na Sigara!!

Mkuu ukitaka kupata accurate figure ya results ya hivi vitu,unatakiwa upate from reliable source.
Reliable source niende ocean road au??
Mbona ngada madhara yake hayajifichi??
Kwanini sigara madhara yake yasionekane?
 
Mkuu usijaribu kujiingiza kwenye jambo ambalo watu walitumialo jambo hilo hujitahidi kutoka lakini wanashindwa.
Mkuu nimewahi kufanya kazi na wachina, walejamaa ni kiboko kwa kuvuta sigara,
kwa mtu yeyote aliyewahi kuingia site na wachina watakwambia, na sioni wakipata matatizo ya kiafya
 
Kuna haja gani yakuweka tahadhari kwa kitu chenye madhara?, kwanini kisiteketezwe tu? Kama ni biashara kubwa basi haina mantiki. Kama ni hivo basi hata bange, unga ngada vyote ni biashara kubwa sana ya mabilioni kama Pombe na sigara, je ni halali kuidhinisha matumizi yake ila tuweke tu tahadhari kwa watumiaji?
Umeona eeh? Na ngada pia waneiruhusu alafu kwenye pakti wawe wanaandika maelezo kama yale walioandika kwenye sigara babeki
 
Reliable source niende ocean road au??
Mbona ngada madhara yake hayajifichi??
Kwanini sigara madhara yake yasionekane?
Sasa sikiliza kijana, wewe kunywa hivyo viroba vyako,vuta sigara,vuta bangi hakuna aliyekushika mikono, kama ulishaona havina madhara hivyo ulivyovitaja ulifungua hii thread ya nini? Kwanini utuulize sisi wakati wewe ni mjuzi zaidi?
 
Umeshindwa kutetea hoja sasa unaanza kunishambulia, au ndio ufahamu wako umeishia hapo?
 
Umeshindwa kutetea hoja sasa unaanza kunishambulia, au ndio ufahamu wako umeishia hapo?
Hoja gani niliyoishindwa kuitetea?
Wewe ndio umeshindwa kuweka evidence yako hapa kua Sigara,Pombe na Bangi havina madhara,eti ushahidi wako unatuwekea majina ya watu ambao hawazidi hata watano kua hawajadhurika na bangi,Sigara na Pombe!

Hivi unajua idadi ya kuchukua "Sample" kwa ajili ya kufanya research? hii mada umeileta kwa kuiangalia kimataifa,ndio maana ukatolea mifano ya Fidel castro,Che guevara,Bob marley na wengineo, halafu eti unataka uhesabu majirani zako ni wangapi wameathirika na sigara! Hiki ni kichekesho aisee!!

Ndio maana nikakwambia research ni fani na inasomewa sio kukurupuka tu eti Sigara,bangi na pombe havina madhara bila kua na ithbati yeyote,

Ni rahisi sana kuanzisha thread but ni ngumu kuiendesha na kuisimamia thread,msiwe mnakurupuka tu kuanzisha thread wakati uwezo wa kuiendesha na kuisimamia ni mdogo,pia jaribu kujifunze jinsi ya kurespond kwa member wanaochangia thread zako,sio kuleta vikejeli na dhihaki za kitoto toto.
 
Moja kati ya njia za kufanya research ni kuingia field ground, sasa kama sampo za mtaani umezikataa, sampo za kimataifa umezikataa, sasa wewe ni mtu wa aina gani? Unasema inamadhara lakini huwataji watu walioathirika ili tuwalinganishe na wazima kisha tupate majibu ya uhatari wake.. Umeishia kubwabwaja na kutaka upewe majibu ya kurembwa rembwa, Kula kona
 
Back
Top Bottom