mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,291
- 798
Tumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na kulingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?
Ni kweliTumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na lingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?
acha akatwe ili pachimbikeLowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?
Lowasa anatakiwa afanye vitu bila kusikilizia viongozi wake watajibu nini, ninahisi ana vitu vingi moyoni kuhusu kashifa na ufisadi mkubwa hapa nchini ila anahofia kuvisema kwani anaweza kukatwa jina, sasa ndo maana anatishia kuyaweka hadharani maovu hayo. Kwake anayachukulia km mtaji kisiasa.
Swali. Kwa nini asiwe muwazi mpaka asubiri akatwe jina? Kumbe anaficha madudu, basi na yeye anahusika.
mimi nafikiri hiyo ni wrong campaign!
Ingevutia zaidi na kuongeza wafuasi kama angesema kwamba akichaguliwa kuwa rais wa jmt basi atamleta balali akiwa hai! Hapo i'm sure angewapata watanzania wengi.
Wakate tena waone
Cha kinakufa
ALIKUFA nyerere ccm ikabaki lowasa ni nani?