Hivi vitisho vya Lowasa ni kweli?!!

Hivi vitisho vya Lowasa ni kweli?!!

Ingekuwa vyema huyu Lowassa angemleta yule Lowassa aliyekuwa na afya. Maana huyu ni kama vile kafa seuze Balali
 
ninchojua mimi ni kuwa LOWASA hajatisha mtu bali alirejea tu kauli ya mwl NYERERE kuwa watu wakikosa mabadlikoya kweli ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM kitu ambacho ni kweli kabisa, cha msingi ni nyie kama chama kuhakisha mnachagua mtu anayeekubalika kma ni lowasa ,membe, magufuli , pinda n.k, bali ni muhimu kukumbuka kauli hyoo
 
Back
Top Bottom