Hivi vitisho vya Lowasa ni kweli?!!

Hivi vitisho vya Lowasa ni kweli?!!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,984
Reaction score
134,134
Tumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na kulingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?
 
Tuombe asubuhi na mchana akatwe ili aonyeshe wema na ushuja wake kwa watanzania
 
Hizo ni Propaganda za Kijinga..
 
Kitisho pekee ninachokiona ni kwa yeye kufa pindi jina lake litapokatwa. Ninauhakika this time atapata stroke
Mwili mzima.
 
Achilia mbali kumleta Bilali yeye mwenyewe anatisha.
Kama tutaruhusu kupata rais wa nchi kupitia mipango na taratibu za mh luwasa basi tujiandae kupata marais wa makundi machafu na mahalifu.
Mm binafsi sioni ubaya binafsi wa mh luwasa bali naona ubaya wa aina ya mipango ya kwenda ikulu.
 
sas weye unatishwa na kuletwa Balali au jina la EL kukatwa?? Mbona mambo ni shwari sana tu. Akatwe amlete au achaguliwe pia atamleta tuu. Nilidhani alisema kuwa atajiua kwa sababu ya magharama aliyo yatumia
 
Kwan lazima awe rais...mbn salim A. Salim mlimzushia mambo mengi, lowasa n tatzo na n tatzo kuzd jk
 
Kwanini usingeuliza vizuri maswali huko ulikopata tetesi? Hilo labda lingekuepusha na hili tatizo lililokupata la kuogopa tetesi.
 
Tumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na kulingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?

Ukitaka mtanzania akuone super genius ++ mwambie mambo yafuatayo: 1. Balali hajafa 2. Babu Seya amebambikiwa kesi 3. Freemasons wamejaa kila kona ya Tanzania 4. Ajali za magari zinaletwa na majini 5. Ukivaa nguo nyekundu utapigwa na radi 6. Lowassa akipata urais baada ya mwezi mmoja umasikini Tanzania hamna tena
 
Ameahidi kumrudisha Balali duniani akikatwa? This man is so desperate .. atakuwa amewekeza mno
 
Tumekuwa tunasikia tetesi nje na ndani ya Jamiiforums kuwa kuna kitirho anakitoa Lowasa ikiwa jina litakatwa CCM.Vitisho ni vingi ikiwa pamoja na kulingishia umati wa watu na wadhamini rundo.Ila kitisho kinachonitia hofu mimi ni hilo linalosemwa sana ya kwamba ikiwa Lowasa atakatwa jina basi atamleta na kumrejesha Dr.Balali hapa Tanzania.Ikumbukwe kwamba Dr.Balali aliyewahi kuwa gavana wa BOT inasemekana alifariki na kuzikwa Marekani,na mpaka sasa kifo au uzima wake una utata.JE,Ni kweli Lowasa anawatishia hivyo maCCM wenzake?

Natamani Julai ifike, jina la fisadi Lowassa likatwe mapema na hapo ndiyo atakapotambua watu wanakula pesa yake tu. Atabaki na walinzi wake tu makundi ya kwenda nyumbani kwake yatafikia tamati maana mkono mtu hauwezi kulambwa, ulaji hakuna. Tunasubiri Dodoma wamwonyeshe yeye si kitu mbele ya Taasisi (CCM)
 
Back
Top Bottom