Hivi viongozi wa dini mnatupeleka wapi jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi viongozi wa dini mnatupeleka wapi jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mataka, Mar 23, 2011.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Jamani toka vuguvugu la uchaguzi lianze mpaka linaisha tumeshuhudia viongozi wetu wa dini wakijiingiza kwenye ushabiki wa siasa mambo ambayo me ninahisi hayawahusu, rejea uchaguzi wa meya arusha na kauli za mufti kuhusu chadema yani wanajipambanua waziwazi dini gani ni cdm na ipi ni ccm. Hivi hawajui waumini wao tupo wafuasi wa vyama tofauti? Mbona wanataka kutugawa? Eti wana jf wenzangu kwa nini vya kaisari wasimpe kaisari na vya Mungu wakamwachia navyo? Hebu nisaidieni kwa hili manake nashndwa kujua nimfate kiongozi wangu wa dini ambaye kwangu ni kioo na namtegemea kunifunza yalo mema au nishike hamsini zangu?
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Subirini Viongozi wa Makabila wakianza kushughulikia hali mbaya ya Maisha; Wasukuma Waanze kulalamika Dhahabu zao zinakokwenda
  Wanyakysa waanze; Wamasai wadai ardhi; wachagga wanyang'we biashara zao - then all of you guys will start remembering Julius Kambarage Nyerere -- Ulafi wetu utatumaliza JK was right!!!
   
Loading...