Zee la kitaa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 403
- 211
- Thread starter
-
- #21
Kwani watu katika taifa hili wamepigwa risasi katika awamu hii tu. Ama nyie mnabagua watu; walipigwa risasi wakiwemo polisi mnaona sio watu. Baada muungane nguvu moja kupigana na hawa waharifu wanaopiga watu mnaleta porojo za kipuuzi. Ama nyie ndio mnatuma hao wanaopiga risasiNa haka katabia kakupiga watu risasi na kukamata wapinzani nako ndio solution ya ( )
Kiongozi mbona kuna mashauri mengi serikali inashindwa katika mahakama za Tanzania. Ana wepesi kusahau mashauri mnayoshinda mnashangilia. Au hamlioni. Hoja za upinzani zipi zilizotupwa na Bunge. Be specific tuzijue. Pia je hoja hizo zimekataluwa na wananchi.Wengi wanaotetea mfumo huu wa utawala wanafaidika nao...
Wengi wasiofadika nao wakilalamika wanaonekana si wazalendo.
Bunge halitimizi wajibu wake wa kusimamia Serikali ( wabunge wa upinzani wanapeleka hoja binafsi zinakataliwa)
Mahakama hazipo huru kihivyo kwa kuwa tumeona mhimili wa utendaji ukisigina Katiba lakini mihimili wa Haki unaona haya kuhukumu vinginevyo.
Njia zote za kujaribu kupata haki zimebinywa ukiwamo uhuru wa kupata na kutoa Habari.
Vyama vya upinzani marufuku kufanya siasa za wazi.
Hivi Nyie mnataka watu wafanye nini? Mnataka waitishe maandamano risasi za moto zirindime?
Watawala kandamizi hupunguzwa nguvu zao kwa kukatiwa mahusiano na nchi nyingine...Kukosa ushirikiano na mataifa mengine "kunaziba pumzi" ya serikali dhalimuKuna katabia kanaonekana kutaka kuota mizizi kwa viongozi wa chadema kutumia vyombo vya nje kuichongea serikali na taifa la Tanzania kwa mambo wanayoyaona hayaendi sawa. Je hiyo nguvu inayotumika kuchongea serikali nje inatarajiwa kuleta neema kwa watanzania ama manufaa gani kwa watanzania. Tumeona juhudi za viongozi wakitaifa wa chadema akiwemo Mbowe; Lisu na baadhi ya wabunge wakitumia nguvu nyingi kama kuishtaki serikali ya tanzania kwa vitu wanavyoona haviendi sawa badala ya kutumia watu wenye maamuzi ya mwisho kwa taifa hili. Kuna mitazamo tofauti inayoendelea ikiwemo kuiona chadema kukosa muelekeo na kujikita na juhudi za kutaka kuvuruga tanzania; na wengine wakiona chadema wako sahihi ili mashirika ya nje yaingilie kati. Je kwa mikakti ya kutumia vyombo vya nje chadema itatoboa kweli?
Naomba kuwasilisha. Tutambue Tanzania ndio taifa pekee tulilopewa na Mungu.
Kaangalie kinachotokea katika mataifa hayo utajua hizo haki unazozitaka kama wanazipata. Hukuona clip ya watu wakifanywa watumwa katika moja ya hayo mataifa.Mataifa ya nje yaliwasaidia wapinzani kuwaondoa viongozi kama Muammar Gaddafi, Hosni Mubarak na Saddam Hussein.
Kwani hujui kuna vitu jamii ya kimataifa lazima iingilie kati?hasa haki za binaadamu na uhuru wa kujieleza?Kuna katabia kanaonekana kutaka kuota mizizi kwa viongozi wa chadema kutumia vyombo vya nje kuichongea serikali na taifa la Tanzania kwa mambo wanayoyaona hayaendi sawa. Je hiyo nguvu inayotumika kuchongea serikali nje inatarajiwa kuleta neema kwa watanzania ama manufaa gani kwa watanzania. Tumeona juhudi za viongozi wakitaifa wa chadema akiwemo Mbowe; Lisu na baadhi ya wabunge wakitumia nguvu nyingi kama kuishtaki serikali ya tanzania kwa vitu wanavyoona haviendi sawa badala ya kutumia watu wenye maamuzi ya mwisho kwa taifa hili. Kuna mitazamo tofauti inayoendelea ikiwemo kuiona chadema kukosa muelekeo na kujikita na juhudi za kutaka kuvuruga tanzania; na wengine wakiona chadema wako sahihi ili mashirika ya nje yaingilie kati. Je kwa mikakti ya kutumia vyombo vya nje chadema itatoboa kweli?
Naomba kuwasilisha. Tutambue Tanzania ndio taifa pekee tulilopewa na Mungu.
Uwezo wako wa kufikiri mdogo sana. Walipata msaada wa kuondoa utawala WA kikoloni si utawala wa taifa huru.Hujui afrika ya kusini walipata msaada kutoka nje?
Mbona juzi waziri mkuu majaliwa ameomba jumuiya ya kimataifa isadie mauwaji ya wanajeshi wetu,inaamaa anakichaa?Wanakichaa hao,Kwa Magufuli kamwe hawataweza
Mungu tu pekee ndiyo hawezwi ila kama unapumzi na uhai basi wewe unawezwa ni swala la muda tu.Wanakichaa hao,Kwa Magufuli kamwe hawataweza
Unaweza ukawa sahihi, lkn pia jiulize wapinzani wa nchi hizo wanafanyiwa kama wa kwetu?Kiongozi mi sijawahi kuona kiongozi yeyote wa Uingereza; Russia; Kenya wakitumia vyombo vya nje ya taifa lao kusema vibaya taifa lao.
Mbona hata Ccm wananunua watu kama bidhaa?Kaangalie kinachotokea katika mataifa hayo utajua hizo haki unazozitaka kama wanazipata. Hukuona clip ya watu wakifanywa watumwa katika moja ya hayo mataifa.
Ndivyo anavyomaanisha,Mbona juzi waziri mkuu majaliwa ameomba jumuiya ya kimataifa isadie mauwaji ya wanajeshi wetu,inaamaa anakichaa?
Wewe umenunuliwa. Akili za kuambiwa changanya na zako uwe salama.Mbona hata Ccm wananunua watu kama bidhaa?
Ishu ya Lisu ni jinai jamani muelewe. Tatizo mmeingiza siasa katika lile tukio. Watu ambao wangewezesha kutoa preliminary ingormation hasa mtu kama dereva wanamficha hivi inatia akilini kweli. Tunataka uchunguzi ufanikiwe taarifa za mashahidi namba moja ni muhimu mno kuliko siasa tulizoingizaUnaweza ukawa sahihi, lkn pia jiulize wapinzani wa nchi hizo wanafanyiwa kama wa kwetu?
Mm binafsi issue ya Lissu kama binadamu inauma sana.
Unajua maana ya uhuru wewe? Nchi huru inaongozwa kidikteta na watu kupotea na kupigwa risasi kwa sababu tu ya kutoa maoni yao ambayo ni haki yao kikatiba? No wonder umeitwa punguani na wengi humuUwezo wako wa kufikiri mdogo sana. Walipata msaada wa kuondoa utawala WA kikoloni si utawala wa taifa huru.
Watawala kandamizi hupunguzwa nguvu zao kwa kukatiwa mahusiano na nchi nyingine...Kukosa ushirikiano na mataifa mengine "kunaziba pumzi" ya serikali dhalimu
Angalia ITIKADI ya CDM katika Katiba yao (2006) Sura ya 3.B.Kuna katabia kanaonekana kutaka kuota mizizi kwa viongozi wa chadema kutumia vyombo vya nje kuichongea serikali na taifa la Tanzania kwa mambo wanayoyaona hayaendi sawa. Je hiyo nguvu inayotumika kuchongea serikali nje inatarajiwa kuleta neema kwa watanzania ama manufaa gani kwa watanzania. Tumeona juhudi za viongozi wakitaifa wa chadema akiwemo Mbowe; Lisu na baadhi ya wabunge wakitumia nguvu nyingi kama kuishtaki serikali ya tanzania kwa vitu wanavyoona haviendi sawa badala ya kutumia watu wenye maamuzi ya mwisho kwa taifa hili. Kuna mitazamo tofauti inayoendelea ikiwemo kuiona chadema kukosa muelekeo na kujikita na juhudi za kutaka kuvuruga tanzania; na wengine wakiona chadema wako sahihi ili mashirika ya nje yaingilie kati. Je kwa mikakti ya kutumia vyombo vya nje chadema itatoboa kweli?
Naomba kuwasilisha. Tutambue Tanzania ndio taifa pekee tulilopewa na Mungu.
Ukikua utaelewa. Naona hujielewi. Hujajibu hats hoja. Rudia kusoma ujibu swaliUnajua maana ya uhuru wewe? Nchi huru inaongozwa kidikteta na watu kupotea na kupigwa risasi kwa sababu tu ya kutoa maoni yao ambayo ni haki yao kikatiba? No wonder umeitwa punguani na wengi humu