Zee la kitaa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 403
- 211
Kuna katabia kanaonekana kutaka kuota mizizi kwa viongozi wa chadema kutumia vyombo vya nje kuichongea serikali na taifa la Tanzania kwa mambo wanayoyaona hayaendi sawa.
Je hiyo nguvu inayotumika kuchongea serikali nje inatarajiwa kuleta neema kwa watanzania ama manufaa gani kwa watanzania.
Tumeona juhudi za viongozi wakitaifa wa chadema akiwemo Mbowe; Lisu na baadhi ya wabunge wakitumia nguvu nyingi kama kuishtaki serikali ya tanzania kwa vitu wanavyoona haviendi sawa badala ya kutumia watu wenye maamuzi ya mwisho kwa taifa hili.
Kuna mitazamo tofauti inayoendelea ikiwemo kuiona chadema kukosa muelekeo na kujikita na juhudi za kutaka kuvuruga tanzania; na wengine wakiona chadema wako sahihi ili mashirika ya nje yaingilie kati.
Je, kwa mikakti ya kutumia vyombo vya nje chadema itatoboa kweli?
Naomba kuwasilisha. Tutambue Tanzania ndio taifa pekee tulilopewa na Mungu.