🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Connection ipo bwana,,,ukiwa unaomba rejesho unavikunakuna hivyo ndio rejesho linatokaHutu tumcgezo twenu tutakuja kuwatoa roho sikumoja!..
Sasa rejesho na ndevu mbona sioni koneksheni hapo au........ Alikuwa kwa pembeni na ndie aliegoma kutoa rejesho ukaona utuletee ndevu zake Sasa...!!😂
🤣🤣🤣🤣Unaleta dharau LuchaKuna jirani yangu ni mfupi alafu hana ndevu mtoto wangu nimemnunulia mpira juzi kati niliona hana mtu wa kucheza Nae nikaenda kumgongea mlango yule jamaa mke wake akafungua mlango nikamwambia amuamshe mume wake aje acheze na mtoto wangu
NakaziaAsiwe na kitambi[emoji28]
Kwisha habari🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Connection ipo bwana,,,ukiwa unaomba rejesho unavikunakuna hivyo ndio rejesho linatoka
Tuzione😌Ndevu ndio urithi pekee mzee wangu kaniachia,mzee ana ndevu kama osama,.kwa wanawake wengine ndevu uchafu
Mimi kitambi hapana kwakweli yaani huwa nainagine akivua nguo anakuaje basi stimu zinakata.....ila pia ndevu sipendiNadhani watapunguza kula makongoro
Sawa mkuu.Mabadiliko ya Tabia ya nchi yanaenda sambamba na mabadiliko ya Tabia za viumbe hai.
ndege JOHN umepata ndugu yakoSawa mkuu.