- Mtihani unapima vitu vingi na sio unachokijua pekee. Vitu kama Utunzaji wa muda na ufanisi wa mwanafunzi akiwa under pressure.
- Tafuta wenzako mtengeneze grup mtakalokua mnatungiana mitihani kila siku, kufanya hivyo pressure ya mtihani itakutoka.
- Don't take school very serious, tuliza akili, cheza na kufurahi na wenzako.
NB: Sio kila anaefeli mtihani hajui vitu.