Ila chairman to chairman sini ruhusa kubadilishana mawazo? Kwanza watu wa #teambazazi inabidi wapewe premium membership as chairman wa #teambazazi nawaombea watu wangu hasa huyu Secretary General Asprinbora umeliona hilo mm nawashangaa sana
wanataka kuharibu teamrafiki yetu
hawajui ni jinsi gani tulivyoangaika
mpaka ikawepo, na mbinu gani tulifanya
mpaka ikawa kuubwa kiasi hichi
WATUPISHE SISI NI WATU WA UPENDO,
WENYE UKARIMU NA WENYE KUJITOA
ukiambiwa wewe ni #teambazazi unabisha sasa Heaven on Earth wewe wa kazi gani wakati unaye miss neddy wako??
#Teambazazi is leading all teams in JF hivyo akija [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamrafiki]#teamrafiki [/URL] akuna mbaya kwani ni kutoka Hq kwenda Branch mpeni usajiri ajakosea huyo.
Namuomba Mndengereko, Mr Rocky, Ntuzu, mwallu, Tized waje kuona kazi nzuri inayofanywa na binti huyu Lady niece
ukiambiwa wewe ni #teambazazi unabisha sasa Heaven on Earth wewe wa kazi gani wakati unaye miss neddy wako??
yani ww umechomoka gesti ghafla unakuja kuwasema watu? jana ilikuwa siku ya wanawake JF, ww hata ua kwa miss neddy wala heaven on earth hukutoa, sasa wenzio wana show love na utani kibao unaanza kutoa povu?
loh! miss neddy ni wangu, katulia tuli kama anapigwa picha ya paspoti!!!!!!!!!!!!!!!
babu Asprin na Heaven on Earth ni majirani zangu mtaa wa pili, tusitaniane kisa wewe upo? aaargh!
Inategemea coz kila timu ina mpira wake na inawezekana kuwa na timu zaidi ya moja.
mkuu tyusalimiane kwanza kwema huko ulikokuweko?
heheee hayo ni mambo yetu ya chumbani
utani gani huo wakati unasema unaondoka na kipand cha mwili cha Heaven on Earth kutoka kwenye kiuno kuja chini kwinngine hukjakuona mpk uchukue kuanzia kuiunoni kwa nini usingechagua kichwani??
nilijua tu maana ulivyokuwa kimya nikajua tu itakuwa kuna kitu kimekukumba sio bure,anyway pole na starehe.za dunianiiMkuu si kwema kabisaa..ndiyo nashtuka kumbe nililala kwenye kajukwaa hapa Kijitonyama Postal Grounds.
mkuu wani siku ile pale escape 1 hukumuona.?Halafu wewee! Nina hamu nikujue siku moja.
kwa hiyo wewe ulitaka utufundishe kutaniana?
kijana kwanza huna heshima, kwanini hujatoa salamu kwa babu Asprin? eenh?
are you under the influence of alcohol?
nilijua tu maana ulivyokuwa kimya nikajua tu itakuwa kuna kitu kimekukumba sio bure,anyway pole na starehe.za dunianii
mkuu wani siku ile pale escape 1 hukumuona.?
babu Asprin shikamoom,usibadilishe mada nawafundisha kutaniana kistaarabu matani gani hayo hukuona matani mengine yote. mpk hayyo!! i(hihhih)i....