Hivi utajuaje demu ameku feel?

Hivi utajuaje demu ameku feel?

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Wada kaswali tuu maana kuna mrembo mmoja kanifanya ni bakie njia panda tulikuwa tunaongelea juu ya mabinti wakileo kuwa hawana bikira zao nikashangaa yeye ananiambia kuwa yakwake anayo akanisisitizia nikashindwa elewa ujasiri huwa wakunieleza hivyo kautoa wapi coz najua humu kuna wajuzi wengi naombeni mnidadavulieni
 
mimi akinipa 0712 nitajua ameni feel,
 
hisia hazielezeki ni mhusika pekee ndo ana feel aje iweje stori za ubikira uhisi tofauti wkt dada kakuthbtshia kwamba virgin wapo na ye m1 wapo we kama unayako malizana naye tu!
 
Ama kweli kapu la mwerevu mjinga hatii mkono!! Wewe ubongo ulipewa wa nini kama kila kitu unakimbilia hapa Jf kuuliza? Hii sredi yako ameshaisoma aibu kwako!!
 
kwa hiyo kila anayekuelea bikra yake anakufeel?

Poor you!
 
khaaaaa!!!!!!!!!!!! mi bikira pia yawezekana nimekufeel eeh Mtambuzi,Asprin msipite njia hii marufuku oooh
 
Wada kaswali tuu maana kuna mrembo mmoja kanifanya ni bakie njia panda tulikuwa tunaongelea juu ya mabinti wakileo kuwa hawana bikira zao nikashangaa yeye ananiambia kuwa yakwake anayo akanisisitizia nikashindwa elewa ujasiri huwa wakunieleza hivyo kautoa wapi coz najua humu kuna wajuzi wengi naombeni mnidadavulieni
 
Leo nimewekwa njia panda msichana flan tumezoeana wewe sema siyo kima penzi ila. Leo kanitamkia anayo bikira yake. Wewe kama mdau unasemaje maana mimi nimebakia kudua kulikoni kafikia hatua hiyo yakuniweka. Wazi
 
unauliza nini? kichwa cha habari kinaulizia jinsi ya kujua kama DEMU amekufeel. hadithi yako inaulizia juu ya ujasiri wa kukuambia yeye ni bikira! hebu sema unataka nini mwanangu.
 
kwani sie ndo 2mekwambia 2mekwambia 2nayo au si ukaingize ujue ni kweli au sio kweli
 
Wada kaswali tuu maana kuna mrembo mmoja kanifanya ni bakie njia panda tulikuwa tunaongelea juu ya mabinti wakileo kuwa hawana bikira zao nikashangaa yeye ananiambia kuwa yakwake anayo akanisisitizia nikashindwa elewa ujasiri huwa wakunieleza hivyo kautoa wapi coz najua humu kuna wajuzi wengi naombeni mnidadavulieni

Sasa demu alivyokwambia kwa ujasiri kuwa yeye bado bikra ndo we ukafikiri kuwa ameku-feel? Sijaelewa!
 
Back
Top Bottom