mku hii avatar yako kila nikiiona mbavu zinapasuka sana yaani nashindwa kuizoea hivi nimelipuka kicheko ofisini.sijui uliikota wapi
Mwambie mpo droo.
Demu akikuambia yeye ni bikra unapaswa kujua kwamba hutaweza kusex naye milele kwa sababu anajua utaikosa iyo bikra aliyokudanganya kuwa anayo.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Leo nimewekwa njia panda msichana flan tumezoeana wewe sema siyo kima penzi ila. Leo kanitamkia anayo bikira yake. Wewe kama mdau unasemaje maana mimi nimebakia kudua kulikoni kafikia hatua hiyo yakuniweka. Wazi
hahaaaa!akishaonyeshwa
kifuatacho itv ni nini!
Hapo ni kuendelea kuitunza bikra
wewe Ndio katika wale 60%?
Wewe ni mtaalam wa watu hawa!!! Comment yako ina logic.
atajuaje kama hyo bikra ipo?
si lazima apime kwanza
akipima itaendelea kuwepo kwani!