Hivi ushawahi mchukia mtu?

Me najitangaza coz cjawah lala na Man.
Kwa maana hyo am a super virgin woman.
Mbona unabisha,
unataka kuhakikisha?

Lete nihakikishe.....!!
Isije ikawa mchina kafanya kazi yake, mie nazijua orijino............!!!
 
namchukia aliye nitoa naniliu, sitamani kumwona tena maishani mwangu. yan nikipewa short gun nianze kumuua ambaye namchukia nitamuanza yeye!
 
Yani hunishindi mimi,
Namchukia sana,na cjui ni kwanini alitimiza lengo lake.
Ningejua ningekaa nayo mpaka leo,ningekuja kuiuza kwa $ 5Bil.
Shit!!!
 
Kwani ulipoitoa hiyo the soft centre, ulikuwa out of your mind? Kama ulikuwa bado kinda, pole!
 
Yani hunishindi mimi,
Namchukia sana,na cjui ni kwanini alitimiza lengo lake.
Ningejua ningekaa nayo mpaka leo,ningekuja kuiuza kwa $ 5Bil.
Shit!!!

Aisee kumbe ni gharama hivyo, kuna uwezekano na sisi mabikra wa kiume kuuza bikra zetu..
 
kwi kwi kwi Asterisk, kwi kwi.
Njo nikufanyie upekuzi na upembuzh yakinifu.
Na nisipokukuta nayo.
Nakulamba :ban:
 
Last edited by a moderator:
Wangu mbona unaweka pesa ndogo kiasi hiki kwa wewe ilitakiwa ni$ 50Bill bhana

Yani hunishindi mimi,
Namchukia sana,na cjui ni kwanini alitimiza lengo lake.
Ningejua ningekaa nayo mpaka leo,ningekuja kuiuza kwa $ 5Bil.
Shit!!!
 
Wangu mbona unaweka pesa ndogo kiasi hiki kwa wewe ilitakiwa ni$ 50Bill bhana

Unajua wangu hata mimi sitaki hlo,
lakini siku hizi kuna Ushindani wa kibiashara.
Nikipandisha bei,bidhaa itaozea dukani wangu.
 
Ukishusha bei utakuwa unafanya selling promotio wangu!
Bidhaa nzuri inafatwa hata kama ina gharama gani ili mradi ni nzuri.

Sometimes price determine quality of product!
Tena pandisha zaidi maana ukiweka kiwango kidogo watajaa na itakuwa usumbufu.

Unajua wangu hata mimi sitaki hlo,
lakini siku hizi kuna Ushindani wa kibiashara.
Nikipandisha bei,bidhaa itaozea dukani wangu.
 
Lakini usihofu wangu,
hayo yameshapita.
Si unaona nilivyokutunuku?
Katu sikukutoza bei yoyote ile.
 
Yani hunishindi mimi,
Namchukia sana,na cjui ni kwanini alitimiza lengo lake.
Ningejua ningekaa nayo mpaka leo,ningekuja kuiuza kwa $ 5Bil.
Shit!!!

hahaha amekukosesha mpunga! Pole mwayego
 
Amani na Upendo uwatawale ndugu zanguni
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…