SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Hii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni
Naomba unitag akikujibuHii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
Eh sasa ndio ujue hiloHii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
Wapo mkuu..., Mbona mchepuko wangu alininunulia suruali ya kadeti wiki iliyopita?Hii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
Hapo kwenye mwanamke weka mwanaume alafu tukushauri jinsi ya kufanyaKufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Utakojoa kitandani acha ndoto nyevuUnampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni
Hapo ni kuwa miti yote imeteleza na kifo cha nyani kimewadia.Unampenzi wako mmeaminiana mkapeana ufunguo wako wanyumba sasa kuna siku hajakitaarifu kakununulia gari kaona aje akusuprise . Kufungua mlango akakukuta nyumbani na mwanamke mwingine mkiwa katikati ya mahaba yenu.
Na hakuja mwenyewe alikuja na familia yako na marafiki hii ingekuwa wewe ungefanyaje??
Huyo uliyekutwa naye hana hela wala juhudi yeyote umemlipa ili upige shoo. Huyo aliyekufumania ndio alikuwa wakwako wa matarajio ya mbeleni
Kama ni bongo nahamaHii ni hapa hapa bongo kwamba kuna wanawake mnanunulia wapenzi wenu magari?
😁😁😁 hawa mtakuwa wale watoto wa vigogo wa CCM wanaokwapua mabilioni ya walipa kodi.Eh sasa ndio ujue hilo
Gari na sarawili kweli?Wapo mkuu..., Mbona mchepuko wangu alininunulia suruali ya kadeti wiki iliyopita?
Na kwanini apone😁Da Mau ukipona tutakumiss 😹