Hivi unawezaje kudownload nyimbo za kibongo katika android

Hivi unawezaje kudownload nyimbo za kibongo katika android

King_Villa

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
575
Reaction score
380
Wakuu naombeni kuuliza hiv unapata wapi nyimbo za kibongo.nimezoea kudownload za kiingereza kutoka waptrick lakini kule hakuna latest za kiswahili .sasa naombeni kujuzwa nitawezaje kuzidownload lastest one.
 
ukitaka kudownload nyimbo yoyote mpya

ingia Google search
andika jina la nyimbo na msanii plus mp3 to download

zitakuja link nyingi hapo utachagua unakayo ipenda ila wengi wao wana upload via hulkshare
 
www.hulkshare.com uwatafute watu kama hassbaby,kizobrax nk ila vzr zaidi ujisajili kwanza (sing up) then wacheki hao jamaa na wengine.
 
Website pekee Tanzania inayowalipa wasanii kwa kazi zao ni Mkito.com. Unaweza kununua wimbo kwa sh 250 tu au unaweza kupakua nyimbo bure. Nyimbo za bure zinaambatana na matangazo mafupi ya kibiashara ambayo yanakuwa yanamlipa msanii. Msanii anapokea 60% ya mauzo. Utaona blogs nyingi sasa wanaweka link za Mkito kwenye page zao ili kuwapa support wasanii wa Kitanzania. Tuwe wazalendo, pakua nyimbo kupitia Mkito.com
 
ingia ktk google.com tafuta TUBIDY VIDEO mpango mzima mziki wowote na mwanamziki yeyote utapata hapo ukiamua Audio au Video utachagua mwenyewe
 
ingia ktk google.com tafuta TUBIDY VIDEO mpango mzima mziki wowote na mwanamziki yeyote utapata hapo ukiamua Audio au Video utachagua mwenyewe

Ubaya wa tubidy ni quality ila kuna blog nyingi tuu za kibongo za maana ambazo utapata nyimbo latest
 
Back
Top Bottom