Si uandike tu kiswahili maana anatha, mara men?? aaaaarrgggg.......kwa kifupi unampenda sana huyo men wako ndio maana unamuwaaza sana wakati wa mchana, na ndoto huwa haziongopi, kitu tukiwazacho saaaana mchana usiku huwa tunaota
Hiyo grammar ya chuo gani?Shantel usijali ndo kwanza ameingia MMU na JF acha aonyeshe kuwa yeye mwana CHUO....
Hiyo grammar ya chuo gani?
​Kuna men tulikuwa tunadate ikatokea misunderstanding, yeye ni mwanachuo bado na mimi ni graduate ofcourse sija Do nae as i said in previous topic i posted na tulibrake baada ya yeye kuonyesha ajajipanga time will tell!! problem ni kwamba nimejitahidi nimsahau kwa kuwa na watu wengine,nikaamua kukubalia Anatha man lakini sijiskii furaha ya ukweli is like iam forcing my self! nashangaa why to this man maana before nillishabrake na mwingine sikupata hii shida, na huyu pia siku Do nae! lakini iyo sio isu nimeshangaa zaidi hii ni mara ya tatu sasa namuota huyu men, yaani jana nimeota nilikua nimeleta anatha guy kumu introduce home alafu mama yangu akawa anaongea na yule men wa kwanza hivi, dont worry wewe ndo muhusika i will work on it, huyu hatuta mkubalia!.. niliposhtuka nilishangaa sana maana i had ever think about that! ushauri pls!
Mhhhh yake kali lakini, anatha.....bongo vipo vingi, nasikia kuna Street University huenda huko ndo aliko...ya Mwanamayu sijui? Vyuo vingi tu wewe tu na chuo utakacho Bongo utapata...
Mhhhh yake kali lakini, anatha.....