mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,331
- 4,856
Na wajuza wale ambao hamjui: ipo hivi ina mambo mengi sana ya kustaajabisha na ili uelewe haya, yakupasa uwe mfuatiliaji.
Wale wenzangu na mimi ambao umekulia maeneo hayohayo unavyoona na kujenga mazoea katika mazingira yako mji wako wilaya yako mkoa wako na nchi yako kwamba jua/sun linatokea mashariki na kuzama magharibi
Hiyo haipo hivyo dunia nzima kuna sehemu nishawai kwenda jua linatokea magharibi na kuzama mashariki
Kwa hiyo kama hili linawezekana basi ukae ujue kuna baadhi ya nchi kama Thailand kalenda yao ina miezi 13 ila huku Tz ina miezi 12
Mfano kuna baadhi ya nchi hapa duniani huu ni mwaka 2081 kuna nyingine ni 2017 kuna nyingine ni 1446 ila huku Tanzania ni 2024
NB WALE WENZANGU WA UMRI UNAENDA SIJAFANYA KITU, KAMA HAPA UNA MIAKA 40 HIVI MKIENDA KUOMBA URAIA WA NCHI ZA NAMNA HIYO UKAJIKUTA UMEPIGA HESABU KULINGANISHA UKAJIKUTA UNA MIAKA 1500 AU HUNA MWAKA HATA MMOJA