St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,526 Nov 27, 2012 #3 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Mbuzi Mzee,kwangu mimi ninapendelea zaidi maisha ya kijijini na ninaona kuwa wanaoishi vijijini ndio wanaoishi maisha halisi tofauti na wa mijini..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Mbuzi Mzee,kwangu mimi ninapendelea zaidi maisha ya kijijini na ninaona kuwa wanaoishi vijijini ndio wanaoishi maisha halisi tofauti na wa mijini.....
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 27, 2012 #4 Kiafya ni Bora ya Kijijini, Kiuchumi ni Bora ya Mjini, Kisiasa Rangi inajieleza-Kilimo Kwanza
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,639 4,526 Nov 27, 2012 #5 Amavubi said: Kiafya ni Bora ya Kijijini, Kiuchumi ni Bora ya Mjini, Kisiasa Rangi inajieleza-Kilimo Kwanza Click to expand... Amavumbi,kwangu nina imani hata kijijini kama una malengo na mikakati mizuri utatoka tu tena unatoka ile toka ya heshima si kifisadi.....
Amavubi said: Kiafya ni Bora ya Kijijini, Kiuchumi ni Bora ya Mjini, Kisiasa Rangi inajieleza-Kilimo Kwanza Click to expand... Amavumbi,kwangu nina imani hata kijijini kama una malengo na mikakati mizuri utatoka tu tena unatoka ile toka ya heshima si kifisadi.....
andate JF-Expert Member Jun 9, 2011 2,651 1,006 Nov 27, 2012 #6 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Nakumbuka hizi nyumba za udongo, fisi walikuwa wanajipanga wanakojolea ukuta ukiloa wanaingia nao ndani. Hawa wanyama walikuwa washenzi sana.
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Nakumbuka hizi nyumba za udongo, fisi walikuwa wanajipanga wanakojolea ukuta ukiloa wanaingia nao ndani. Hawa wanyama walikuwa washenzi sana.
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Nov 27, 2012 #7 andate said: Nakumbuka hizi nyumba za udongo, fisi walikuwa wanajipanga wanakojolea ukuta ukiloa wanaingia nao ndani. Hawa wanyama walikuwa washenzi sana. Click to expand... Hiyo kali, sasa wakiingia huko ndani si inakuwa mtafutano wa kufa mtu!??
andate said: Nakumbuka hizi nyumba za udongo, fisi walikuwa wanajipanga wanakojolea ukuta ukiloa wanaingia nao ndani. Hawa wanyama walikuwa washenzi sana. Click to expand... Hiyo kali, sasa wakiingia huko ndani si inakuwa mtafutano wa kufa mtu!??
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Nov 27, 2012 #8 Kwa mtu asiyependa jembe kama mimi, mjini kutafuta na kuchakarika maana opportunities ni nyingi tu...napenda kijijini kumpumzika.
Kwa mtu asiyependa jembe kama mimi, mjini kutafuta na kuchakarika maana opportunities ni nyingi tu...napenda kijijini kumpumzika.
Ringo Edmund JF-Expert Member May 10, 2010 4,879 1,125 Nov 27, 2012 #9 wakati wa ccm ya mwalimu maisha yalikuwa bora kijijini wakati huu wa ccm ya kikwete tutabanana mijini mpaka kieleweke. kijijini utakufa huku unajiona.
wakati wa ccm ya mwalimu maisha yalikuwa bora kijijini wakati huu wa ccm ya kikwete tutabanana mijini mpaka kieleweke. kijijini utakufa huku unajiona.