Hivi unafahamu hili kuhusu Neymar?

Hivi unafahamu hili kuhusu Neymar?

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
ImageUploadedByJamiiForums1405274095.471627.jpgImageUploadedByJamiiForums1405274111.724262.jpg kwa mujibu wa kura mbalimbali zilizopigwa duniani katika mitandao mbalimbali na taalifa ya majarida mbalimbali zimethibitisha kwamba , neymar mwanasoka anaependwa na watu wengi zaidi hapa duniani katika medani ya soka,pia takwimu hizo hizo katika majarida yalithibitisha timu ya taifa ya brazili ndio timu iliokuwa inapendwa zaidi katika michuano inayofanyika uko brazil,hii imejulikana pale kuhumia kwa neymar na kufungwa na ujerumani na uholanzi iliwaumiza watu wengi sana duniani.
 
View attachment 170618View attachment 170619 kwa mujibu wa kura mbalimbali zilizopigwa duniani katika mitandao mbalimbali na taalifa ya majarida mbalimbali zimethibitisha kwamba , neymar mwanasoka anaependwa na watu wengi zaidi hapa duniani katika medani ya soka,pia takwimu hizo hizo katika majarida yalithibitisha timu ya taifa ya brazili ndio timu iliokuwa inapendwa zaidi katika michuano inayofanyika uko brazil,hii imejulikana pale kuhumia kwa neymar na kufungwa na ujerumani na uholanzi iliwaumiza watu wengi sana duniani.

Hata angekuwemo dozi ilkuwa palepale tu! brazil ya sasa ni mbovu sana!
 
inawezekana uliwai kutumbukia chooni ulipokuwa mtoto kwa mtu mzima awezi kuongea kama wewe
 
mbona huku kwetu wanamjua messi na ronaldo tu uyo neyma bado sana
 
mbona huku kwetu wanamjua messi na ronaldo tu uyo neyma bado sana
iyo kawaida kaka kwani kuna sehemu zingine mpaka leo ukienda bado wanajua bush ndio rais wa marekani,pengine leo ukipereka cd za video za bruce lee,van dame,chuck norris ahhhhh utauza sana ukipereka picha za kileo upatikitu so maeneo mengi hapa tanzania bado sana ndio uko kwenu neymar hawamjui duu hiii kaliii
 
Yeye labbda ni golikipa angedaka au ni beki angezuia mabao saba yasiingie
 
Hata angekuwemo dozi ilkuwa palepale tu! brazil ya sasa ni mbovu sana!

Yaani huyo Neymar,T Silva ukweli kikombe cha magoli kilikuwa hakiepukiki ona huyo T Silva wao waliokuwa wanawaomba Fifa wamfutie kadi za njano mbili lakini walikataliwa.

Siku walipokipiga na Holland alikuwepo na kichapo kama kawaida kitembezwa tu kama mwizi aliyevunja Duka enzi za Vijiji vya Ujamaa,kumbuka enzi hizo duka lilikuwa linamilikiwa na Kijiji sasa ukiiba lzm upigwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom