FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Mungu atuepushie.
Tubakini njia kuu michepuko sio dili ndugu zangu
hapana mi naona kukaa kimya ni busara zaidi ukimwi sio ajali kwamba unakufa hapo hapo unaweza ishi miaka mingi sana huku ukitengeneza mazingira ya ye kujua binafsi.ooops hii ngumu mie nadhani ni kutafuta namna ya kwambia mwenzio kucheki maana inawezekana yeye hajaathirika
ukawa umemwambukiza gonjwa kwa namna moja ama nyingine
Taarifa nayo huchangia MTU kwenda kwa haraka zaidi unaweza kuwa kimya na uache kabisa michepuko uanze kuishi maisha maaminifu.Sio jambo rahisi hata kidogo. Mwaka 2008 Shangazi wa mama yangu alitumiwa msimamizi wa ndoa kuambiwa mume wake ni muathirika. Ni kama vile alikuwa ashajiandaa kwa habari kama hizo, tabia ya mume wake ilishashindikana. Alisema anamshukuru Mungu watoto wake walishaanza kujitegemea hakwenda kupima na mpaka leo ni mzima wa afya anafurahia wajukuu. Mume alikufa mwaka uliofuata.
unaanzaje....?