Empiree
Senior Member
- Jun 20, 2020
- 102
- 256
Tupe na Experience alizingua nini?
Mimi niliiba simu yake nikazama kwenye Messages. Kufanya upembuzi nikakuta anachati na mwamba anamsifia eti ni mtamu!

Nikamuuliza huyu nani? Akabaki kimya! Nilimrukia buti kama la Van damme
. Nilimpiga mpaka akazima.
Eti akataka kunipeleka Polisi, baadaye familia ikaongea na familia yao wakayamaliza. Ikapita kama mwezi hivi tukaja kukutana nikamuomba msamaha akakubali tukarudiana

Mimi niliiba simu yake nikazama kwenye Messages. Kufanya upembuzi nikakuta anachati na mwamba anamsifia eti ni mtamu!

Nikamuuliza huyu nani? Akabaki kimya! Nilimrukia buti kama la Van damme
. Nilimpiga mpaka akazima.Eti akataka kunipeleka Polisi, baadaye familia ikaongea na familia yao wakayamaliza. Ikapita kama mwezi hivi tukaja kukutana nikamuomba msamaha akakubali tukarudiana