baba_la_kichaga
Senior Member
- May 15, 2017
- 127
- 54
Habari za jioni wandugu! Napenda kuelewa je Tanesco wamepandisha bei ya umeme kwani nyuma kidogo umeme wa 8,000 nilikuwa napata unit 65 ila leo nimenunua nimepa unit 57 kwa bei hiyohiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app