Me hata video zao huwa siangalii kwa sababu hazina mvuto,kuigiza hawajui hazina ujumbe wowote zaidi ya mapenzi,na zinadumaza sana akili za watu hasa watoto na wanawake,HIVI HUWA WANAIGIZA BULE AU WANALIPWA?hawako serious na wanachokifanya wanachokifanya.