daaah hiyo kazi sana nimtafute ili iweje kwa mfano, any way pesa zangu so wa kunitafuta ni yy, labda ukute huyo jamaa alipata girl friend mzuri kwa kubahatisha na hajapata wa design hiyo tena, so ili ajiskie aman anaona ni heri amtafute aloachana nae coz ana status nzuri let say ana body mophology marshallaaaa, baby face, mwendo wa maringo, kuongea kwa kudeka na kudengua na mengineyo mengi,
So ili washikaji zake wamkubali kuwa anamiliki vitu classic anaamua kurudiana nae