HIVI ULISHAWAHI KUWA NA TABIA YA KUMTAFUTA MPENZI WAKO ULIYEACHANA NAE BAADA YA KUPATA PESA

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,179
3,539
Kuna ka tabia flani tunako baadhi ya watu yaani ukitokea umepata pesa basi unaanza kumtafuta mpenzi wako wa zamani au uliyeachana nae.......

Pesa zikikuishia na mapenzi yanaisha lakini ikitokea umepata pesa unarudi kumtafuta mpenzi wako wa zamani?
 
Mimi sijui kuacha ni majira tu ya mwaka ndio yanabadilika
 
Ila pesa kitu muhimu sana. Ata kama domo zege lile tumizi tuu mtoto anaelekea kibra mwenyewe. Mimi nikikamataga manoti napendaga kulaga pochi manyonya mupya. Ya zamani nairudiaga nikikosaga minoti.
 
daaah hiyo kazi sana nimtafute ili iweje kwa mfano, any way pesa zangu so wa kunitafuta ni yy, labda ukute huyo jamaa alipata girl friend mzuri kwa kubahatisha na hajapata wa design hiyo tena, so ili ajiskie aman anaona ni heri amtafute aloachana nae coz ana status nzuri let say ana body mophology marshallaaaa, baby face, mwendo wa maringo, kuongea kwa kudeka na kudengua na mengineyo mengi,

So ili washikaji zake wamkubali kuwa anamiliki vitu classic anaamua kurudiana nae
 
Kuna ka tabia flani tunako baadhi ya watu yaani ukitokea umepata pesa basi unaanza kumtafuta mpenzi wako wa zamani au uliyeachana nae.......

Pesa zikikuishia na mapenzi yanaisha lakini ikitokea umepata pesa unarudi kumtafuta mpenzi wako wa zamani?
Unawauliza wanawake au wanaume
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom