Hivi Ulaya nako kuna viboko?

Hivi Ulaya nako kuna viboko?

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,422
Reaction score
1,253
Napata wakati mgumu sana kumlea mtoto wa kiafrika bila fimbo.

Kuna mbinu yoyote unaweza Lea mtoto mpaka utu uzima bila kumchapa?.

Watoto kuanzia 2-9years ni pasua kichwa utundu na tambia mbovu huanzia hapa.
 
Nilijua viboko wa majini .... Kumbe unamaanisha kumchapa mtoto
 
Back
Top Bottom