miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Jun 29, 2013 #61 manoah said: Njoo basi huku faragha tuyajadili Click to expand... Faragha ndo mtaa gani hapa mjini?.....anhaaaaa nshakumbuka kumbe ndo ile barabara aliyopewa zawadi mkuu anayekuja na ulinz wake.
manoah said: Njoo basi huku faragha tuyajadili Click to expand... Faragha ndo mtaa gani hapa mjini?.....anhaaaaa nshakumbuka kumbe ndo ile barabara aliyopewa zawadi mkuu anayekuja na ulinz wake.
W wikolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 800 Reaction score 271 Jul 1, 2013 #62 Tysher said: Hapana,sikumkubali. Kilichokua kati yetu ni urafiki,alivyoleta hizo habari gani nkamtolea nje. Nashangaa analeta mambo ya kuuchuna Click to expand... Tysher, usije ukawa umeamua kunianika mimi hapa jamvini aisee!! Vibaya hivyo!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tysher said: Hapana,sikumkubali. Kilichokua kati yetu ni urafiki,alivyoleta hizo habari gani nkamtolea nje. Nashangaa analeta mambo ya kuuchuna Click to expand... Tysher, usije ukawa umeamua kunianika mimi hapa jamvini aisee!! Vibaya hivyo!!
A Abelian JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 204 Reaction score 33 Jul 2, 2013 #63 lazima auchune maana smile yake kaihifadhani kwa yule atakaye mkubalia