Hivi ukitongoza lazima ukubaliwe?

ukiona unatongozwa sana wewe si mzuri la hasha unasura ya kiumalaya aka matamanio by Nabii na Mtume J Mwingira

Wakati niko shule kuna msichana alimfuata mwalimu (maarufu kama Mama Malezi) huku analia eti kuna mvulana kamtongoza na anamfuatilia kila mara hadi anakoda amani. Basi ikapigwa kengele kama kawaida, shule nzima tukaitwa mshitaki akaitwa mbele bwana. Mwalimu akaeleza alivyopata mashitaka ila akamwambia yule msichana kuwa ana makosa makubwa mawili, kwanza hayuko serious na masomo mana ndicho kilimpeleka shule ndio maana huyo kaka alipata muda wa kumtongoza na kumfuatilia ovyo ovyo. Pili amekosa ujasiri/uthubutu wa kumkataa huyo kaka yeye mwenyewe bila msaada wa mtu, yote hiyo ikionesha udhaifu wake ili hali kila kukicha alikuwa anatufundisha tuwe wajasiri. Alipata kichapo kitakatifu na adhabu ya moram juu!!
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane


Mimi nina mke wangu, sitaki mpenzi wa nje ila nikikutongoza afu unikatalie, aiseee....bora unidanganye utanipa ila si kwa siku ile then unikimbie. Nitakunaniiii, yaani we acha tu. Mi nikataliwe na huku Jr. kanuna kutaka kukujulia hali, weweeee?
 
Mpaka akaamua kukutongoza jua njia hyo ulimuonesha mwenyewe...usikute ww ndo ulikuwa wa kwanza kumchekea chekea
 
mimi nikikutongoza lazima ukubali usipokubali jua patachimbika. hakutakalika. kwanini ukatae, kwani wewe bikra? mtu mwingine ukimtongoza anajishaua utafikiri habld. hata hivyo hadi nikutongoze itabidi ujiite mwenye bahati. wambie wenzako. mia
 
mimi nikikutongoza lazima ukubali usipokubali jua patachimbika. hakutakalika. kwanini ukatae, kwani wewe bikra? mtu mwingine ukimtongoza anajishaua utafikiri habld. hata hivyo hadi nikutongoze itabidi ujiite mwenye bahati. wambie wenzako. mia

Duuuuuuuh.......!
 
Duuuuuuuh.......!

hahahaaa...!!!. mwingine unakuta kicheche mtaani lakini ukimtongaza anajifanya kujishaua, wakati mwenzie umeenda kwa adabu zote. cha ajabu anajifanya hajui hayo mambo. ukimtongoza anajifanya mgumu na wewe unajiona umepata kumbe ndo unajihukumu. hawa wadudu nshawachoka. usipoteze muda kutongoza demu asiye elewa somo. unajua siku hizi ukitaka kila siku utembee na demu tofauti inawezekana so ni haki yetu kulinga. hataki muache aende zake. mia
 

Kumbuka hata huyo kicheche kaka yangu bado anayo haki ya kuchagua.Mleta mada hamtaki kimapenzi ila urafiki kama nimemuelewa vizur.
 
Hivi kina kaka,inakuaje mtu anakuwekea chuki na bifu za ajabu ajabu kisa tu umekataa kukubali ombi lake la kuwa wapenzi?? Acheni hayo mambo,ukitongoza si lazima ukubaliwe. Muelimishane

Sio lazima umkubalie, ila inatokea kama mtu mwenyewe mko karibu nae sana mnasidiana mmojawapo anapopata tatizo sasa anaposikia mtu flani anadate na wewe alafu yeye ulimkatalia da! anaumia roho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…