Hivi ukimsaidia mtu ni lazima uchukulie ujiko?

Hivi ukimsaidia mtu ni lazima uchukulie ujiko?

Wengi wa ivo naanzaga kuwaangalia appearance zao kwanza ndio nimjibu, nikimkuta ndo akina baba kabwela najisemea kimoyomoyo una maneno ya mkosaji.
 
Hiyo ilikuwa before hata kumsaidia kupata job ! Nilikuwa nataka sana unyevu wake ni kisu mkuu.
Mkuu unajua nini....

Kosa lako ulikuwa "hujiamini"...

Kwani ungejiamini ungemkabili na TERMS kuwa unamsaidia ili akifanikiwa akupe uhusiano na "mchomwemwe"....

She should had to abide to MAKUBALIANO....km angechomoa nawe pia UNGECHOMOA msaada...🤣

Ulifanya hayo japo kwa maneno?!!!
 
Sio kujichukulia ujiko tu wengine wanataka uwaabadu na kuObey chochote...Ni ushamba)Ujinga wa kiafrika tu
Wakati unapotoa sadaka mkono wako wa kushoto hautakiwi ujue umetoa ngapi. Saidia kisha sahau msaada wako maana ukiwa unaukumbuka utakua unataka malipo ya msaada uliotoa, Hence unakua sio msaada tena bali ni Huduma uliyouza/Kopesha

Be kind always even no one looking at you.
👍👍
 
Unajua kuna mtu unaweza kumpenda halafu ukawa na huruma nae halafu ukamheshimu sana na usihitaji kumpoteza.

So mm sikutumia hizo strategies maana nilikuwa nahisi nitakuwa nafanya ukatili.

Isitoshe tumesoma kozi za mambo ya kijinsia.
Mkuu unajua nini....

Kosa lako ulikuwa "hujiamini"...

Kwani ungejiamini ungemkabili na TERMS kuwa unamsaidia ili akifanikiwa akupe uhusiano na "mchomwemwe"....

She should had to abide to MAKUBALIANO....km angechomoa nawe pia UNGECHOMOA msaada...[emoji1787]

Ulifanya hayo japo kwa maneno?!!!
 
Ukitoa zawadi yako kwa mkono wa kulia usiufanye mkono wa kushoto ujue. Hakuna ulazima wa kujitapa kwa kumsaidia mtu.
 
Kuna tabia flani ntaaita ya kishwaini ambayo tunayo wabongo hasa wenye sijui ni ushamba au, mtu kakuomba assistance katika jambo lake flani au kakwama hivi...

Unampa shavu halafu baadae huko ni mwendo wa kujisifia tu kwa watu. "David amepata kazi bana ila bila mie kufanya mambo pale Airtel wasingemchukua" hapo ni kwenye mkusanyiko wa ndugu labda...au jamaa! Wengine wanaenda deep kwamba jamaa toka nimtaftie kazi hata simu tu hajapiga.

Do you really need to do that? Kuna ulazima wa kujimwambafy ukimsaidia mtu?
Sasa kama hawajimwambafy watapataje status bar, vijiweni, disco? Wabongo ni issue aisee.
 
Unajua kuna mtu unaweza kumpenda halafu ukawa na huruma nae halafu ukamheshimu sana na usihitaji kumpoteza.

So mm sikutumia hizo strategies maana nilikuwa nahisi nitakuwa nafanya ukatili.

Isitoshe tumesoma kozi za mambo ya kijinsia.
Hapo ISW?🤣

Hata kama mngesoma kozi za "dini".....😂

Mkuu wangu tatizo letu huwa TUNAWAONEA HURUMA SANA WANAWAKE zaidi ya UHALISIA ulivyo...na wao walivyo....

Ok let's talk as ALPHA MALES....

Ukimsaidia mwanamke uwe na malengo mawili tu;

1.Utu...msaidie usingoje malipo.
2.Self Interest....umsaidie "ufanikishe utakayo..."

Nimesema hayo kwa kuwa baadhi ya GIRLS wanaamini wao WANASTAHILI msaada kutoka kwa wanaume iwe kwa huruma tu ama malipo baadaye.

Girls huwa wanasahau SANA yale wanayosaidiwa nasi....

So real dudes ain't give a s..it..it's either COMPASSION or WIN-WIN SITUATION🤣🤣🤣

Pole mkubwaaa...

Zigo wakaenda KUJIBWEDEA wenzako eee?!!!🤣
 
Daaaahh tuishie hapa mkuu hahahahha maana nazidi kuumia tuu!!

Dem mkali, sema umenena makubwa sana.
Hapo ISW?[emoji1787]

Hata kama mngesoma kozi za "dini".....[emoji23]

Mkuu wangu tatizo letu huwa TUNAWAONEA HURUMA SANA WANAWAKE zaidi ya UHALISIA ulivyo...na wao walivyo....

Ok let's talk as ALPHA MALES....

Ukimsaidia mwanamke uwe na malengo mawili tu;

1.Utu...msaidie usingoje malipo.
2.Self Interest....umsaidie "ufanikishe utakayo..."

Nimesema hayo kwa kuwa baadhi ya GIRLS wanaamini wao WANASTAHILI msaada kutoka kwa wanaume iwe kwa huruma tu ama malipo baadaye.

Girls huwa wanasahau SANA yale wanayosaidiwa nasi....

So real dudes ain't give a s..it..it's either COMPASSION or WIN-WIN SITUATION[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pole mkubwaaa...

Zigo wakaenda KUJIBWEDEA wenzako eee?!!![emoji1787]
 
Ukiona mtu anafanya hivyo ujue ni utoto.

Lakini pia kuna mazingira mtu anaweza sema au testify kwa nia njema na kwa faida na kwa ajiri ya kujifunza.. lakini kuna wengine hufanya kwa kuji mwabafai..
Binafsi naona ni ulimbukeni flani na mungu anajua kuinuaga watu bana...Watu wa aina hii ndio wanakulaga mashavu n nafasi kubwa kweli ila wanatumia hizo njia kujimwambafy zaidi ya kuwatupia wenzao kamba.
 
Daaaahh tuishie hapa mkuu hahahahha maana nazidi kuumia tuu!!

Dem mkali, sema umenena makubwa sana.
Pole sana mkuu...mwenzako Nina tabia ya KUTOLAZA DAMU....

Pisi kali nikiitaka naIFACE kwa kujiamini na kufunguka haswa...
Ikikataa FASTER nahama kwani najua SI YANGU ni "halali" ya wenzangu....🤣🤣

Pole mno mkuu waswahili wanasema "ukupigao ndio ukufunzao".
 
Haki kabisa.
Pole sana mkuu...mwenzako Nina tabia ya KUTOLAZA DAMU....

Pisi kali nikiitaka naIFACE kwa kujiamini na kufunguka haswa...
Ikikataa FASTER nahama kwani najua SI YANGU ni "halali" ya wenzangu....[emoji1787][emoji1787]

Pole mno mkuu waswahili wanasema "ukupigao ndio ukufunzao".
 
Heheheh sio live bali kimoyo moyo tu
Wengi wa ivo naanzaga kuwaangalia appearance zao kwanza ndio nimjibu, nikimkuta ndo akina baba kabwela najisemea kimoyomoyo una maneno ya mkosaji.
 
Binafsi naona ni ulimbukeni flani na mungu anajua kuinuaga watu bana...Watu wa aina hii ndio wanakulaga mashavu n nafasi kubwa kweli ila wanatumia hizo njia kujimwambafy zaidi ya kuwatupia wenzao kamba.
Ila kuna wana wengine, unaweza kuwashika mkono wakifanikiwa, utaoga hizo shit zake.. hadi ukome 😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom