Hivi ukikutana na hawa jamaa unaweza amini kwamba ni mawaziri?

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,061
Sudan.jpg

Kulia ni Waziri wa Kilimo na Umwagiliaji huko Sudan Kusini bwana MABIOR GARANG (aliyevaa viatu vyeupe).

Katikati ni Waziri wa Ulinzi aliyevaa kandambili na utepe mwekundu begani,

Kushoto ni Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, aliyeshika kirungu nje ya ukumbi wa Bunge mjini Juba Sudan Kusini.
AHSANTE NYERERE KWA KUTUTOA MBALI
 
Lete na wabunge wa Jamaica ndo utafurahi mwenyewe, But hao Sudan kusini hawana mda wa kuvaa kwani mda wowote kuna kukimbia vita, sio Kama huko TZ mtu anapata hata mda wa kuvaa gwanda na kujipiga selfie mbio hadi FB kujitangaza kwenda kupambana na majambazi. Ila huyo wa ndala labda amewahi kiuishi kigoma, 'Mdudu"
 
Back
Top Bottom