Hivi ukikutana na dume zima limebeba mdoli unalielewaje?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,878
15,458
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
 
wewe mwepesi wa kumuhukumi mtu ok mbona wewe unatuma msg na kupokea kwa kidole gumba kwani wewe ni 076 number ya Jordan.

swissme
 
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Itategemea amebebaje na kwa malengo gani, labda alikuwa anapelekea watoto cha kushangaza umepanic@ wewe!!
 
Nimekutana na janaume lenzangu tena lina ndevu nying tu lakini limebeba mdoli,hivi jitu kama hili nyie mnalielewaje wakuu?
Huo mdori hilo janaume lilikuonyesha laivu au ilikuwaje? Mlikuwa chemba ndo likakuonyesha ama? Maswali ni mengi kuliko majibu!
 
Back
Top Bottom