Hivi uki retake, boom unaendelea kupata?

Loan Officer atasimamisha boom ule mwaka ambao utakua nyumbani. Ukirudi baada ya kuclear iyo retake, yeye ata resume ule mkopo.
😁😁😁 naona mpo kwenye uzi wenu wa ku retake
 
Watu wana changanya kidogo hapa.

UDSM hauwezi fananisha na NIT.

UDSM wana system tofauti na NIT. Hao UD wana carryover ata mwaka wa mwisho lakini hivi vyuo vya ufundi mwaka wa mwisho hawana.

Sasa retake zipo za kushindwa fikisha CA /coursework na za kushindwa kusuppua Supp. Sijui ya mtoa mada ni ipi.

Na pia course yako ni ya miaka 4 au mitatu. Ila kwakua umesema una retake na upo mwaka wa 2 basi yako ni ya mitatu naamini hivo.

Retake ni pale unapotoka NTA 7 kuingia 8 otherwise ni carryover.

Kitakachofanyika ukiwa 2nd yr na unaingia 3rd yr (final year) uka retake utaacha kusoma masomo ya 3rd yr ila utabaki home hadi utakap clear ilo somo la 2nd yr.

Kama ni CA kuna percentage ya ada utalipa kutokana na weight (units) za iyo module. Na kama ni mtihani tu wa mwisho utakuja fanya kipindi cha UE.

Sasa kma upo home mwaka mzima boom lako litasimamishwa maana siku hizi bodi wanataka update ya matokeo ya mwanafunzi kila mwaka wajue kama anaendelea au hasomi. Sio kama zamani.

Ukiclear ukarudi chuo uta resume mkopo waio Loan officer ataandika barua.
 
Umesomeka sana Mr Loan Officer 😁😁😁
 
Muone loan officer wa chuoni kwako atakupa maelekezo mazuri sana.
 
Thanks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…