Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Inakuwaje huko Upinzani mnafanya Vyama kama SACCOS na hata SACCOS nafikiri zina uongozi wenye Ukomo. CCM ina Demokrasia pevu na haitawezekana kamwe kuitoa madarakani mkiendelea na mzaha wenu! Mtabaki kuandamana na kutoa matamko tu miaka ikienda! Jifunzeni tokea CCM! Mfano ni CUF. Mgombea Urais huyo huyo na KM huyo huyo miaka yote.
TLP Mwenyekiti huyo huyo miaka nenda rudi na UDP to name a few!
TLP Mwenyekiti huyo huyo miaka nenda rudi na UDP to name a few!