Hivi uhakiki bado tu au ilikuwa gia tu ya kutunyima ajira?

Inasikitisha sana, inatakiwa waseme specific time kuwa ni lini,,,, kuliko kukaa kimya hata kama wana mamlaka ua kufanya hivyo. Dah.... Ama kweli mwenye shibe hamkumbuki alie na njaa.....
 
Habarini wanajf

Walimu, kada ya afya na wale tulioajiriwa mwezi May mwaka huu tuliorudishwa nyumbani kupisha zoezi la uhakiki tunasubiri ajira.

Mpaka sasa hivi kimya, hii ni njaa ya mwendokasi.Je uhakiki bado tu?
Nenda kaanze kazi, utaajiriwa zikishatoka.
 
WALE MLIOKUWA MMESIMAMISHWA KAZI HASA WAAJIRIWA WAPYA KANDA YA MAHAKAMA ,AFYA,HALMASHAURI ,NK.JIANDAENI KURUDI KAZINI ZOEZI LA UHAKIKI LIMEKAMILIKA KIKUBWA WEKENI MIZIGO YENU TAYARI KWA KUREJEA SEHEMU ZA KAZI MLIZOPANGIWA AWALI ANDAENI NAULI POLENI KWA USUMBUFU NA ASANTENI KWA UVUMILIVU.
 
Mkuu chanzo kinasemaje watalipa arrears za miezi waliyosimamisha wafanyakazi au ndio wataingiza katika rekodi za makusanyo ya mwezi ya mapato ya serikali?
 
Back
Top Bottom