Mkuu sijui kama hiyo ndo sababu kubwa lakini yawezekana kuna yaliyo nyuma ya pazia katika uhusiano wa haya mataifa matatu(Miasri,Israel & USA). Umewahi kufuatilia baadahi ya picha za kwenye dola zina maana gani, kuna mambo mengi ambayo nadhani kwa sisi hatuyajui yanayofanyika katika mataifa hayo matatu.